nyumba /Fatwas /utwahara /Mbwa Wa Kufuga Je, Ni Najsi?

Mbwa Wa Kufuga Je, Ni Najsi?


SWALI: Asalam alaykum kwa uwezo wa allah nimejaaliwa kuwepo nchini china kwa ajili ya masomo hata hivyo nimekutana na waislam wa nchi nyingine mbalimbali ambapo siku moja muislamu mwenzangu kutoka India nilimkuta kapakata mbwa nami nilimshangaa ha

JIBU: Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mw