nyumba /Fatwas /utwahara /Mas-ala Kadhaa Ya Hedhi na Istihaadhah

Mas-ala Kadhaa Ya Hedhi na Istihaadhah


SWALI: Assalaam aleykum warahmatullaahi ta'ala wa barakaatuhu. Amma ba'ad: 1. Kwa baadhi ya wanawake, baina ya hedhi mbili hua kuna "discharge" ya rangi kama hedhi inapomaliza. Jee hii ni kitu gani au ni katika process za "ovulation" Nini hukm

JIBU: AlhamduliLLaah - Himidi Anastahiki Allaah (Subhaanahu wa Ta’aala) Rabb wa walimwengu, Swalaah na salamu zimshukie Nabiy Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhwiya Allaahu 'anhum) na waliowafuata kwa wema mpak