nyumba /Fatwas /utwahara /Mama Kumnyonyesha Mtoto Akiwa Katika Janaba Inafaa?

Mama Kumnyonyesha Mtoto Akiwa Katika Janaba Inafaa?


SWALI: Swali langu ni hili Je, naweza kumnyonyesha mtoto wangu kabla ya kuoga janaba hakuna tatizo lolote Au ni lazima nikoge kwanza Assalam alaykum.

JIBU: Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku