nyumba /Fatwas /zaka / Maelekezo Kuhusu Utoaji Wa Zakaah

Maelekezo Kuhusu Utoaji Wa Zakaah


SWALI: asalam alaikum wa rahmatullahi wabarakat mimi natowa pongezi zangu kwa wa kurugenzi wa chombo cha alhidaaya nimenufaika sana na chombo hiki nawa ombeya kwa mwenyezimungu awalipe kila la hery kwa juhudi yenu yakumtumikiya allahuma amin, swali l

JIBU: Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Sik