nyumba /Fatwas /saumu /Kutoa Damu Hakubatilishi Swawm

Kutoa Damu Hakubatilishi Swawm


SWALI: Assalamu 'allykum, Je, kutoa damu kidogo yakufanya check up wakati umefunga inafaa? JAZAKA ALLAHU KHEIR

JIBU: AlhamduliLlaah, Waswalaatu Was-Salaam 'alaa Rasuli-Llaah, Amma ba'ad, Kutoa damu ya kufanya matibabu wakati umefunga haibatilishi Swawm. Yafuatayo ni mambo yanayobatilisha na yasiyobatilisha Swawm: YANAYOBATILISHA (YANAYOHARIBU) SWAWM