nyumba /Fatwas /saumu /Kutengeneza Au Kupunguza Ndevu Kunaharibu Swawm?

Kutengeneza Au Kupunguza Ndevu Kunaharibu Swawm?


SWALI: Asalam Aleykum Warahmat Taalah wa barakatuhu, Kwanza ni kuwatakia kheri na baraka za mwezi huu mtukufu wa ramadhani, na ALLAH atukubalie saumu zenu, Inshaa ALLAH, Swali ni kuwa, ikiwa mtu atazisawazisha ndevu kwa mkasi, siyo kunyoa au kupunguza

JIBU: Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwish