nyumba /Fatwas /utwahara /Kutambua Madhii Na Wapi Hasa Yapo Katika Nguo – Kiasi Gani Cha Madhii

Kutambua Madhii Na Wapi Hasa Yapo Katika Nguo – Kiasi Gani Cha Madhii


SWALI: Asalaam aleykum warahmatullah taala wabarakat. Ama baada ya salaam ningependa kwanza kutumia nafasi hii kuwapongeza na kuwashukuru kwa jitihada njema kabisa za kuuelimisha ummah juu ya mas-ala mbalimbali ya kidini, namuomba allah aikubali

JIBU: Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Sik