nyumba /Fatwas /saumu /Kusafisa Mafigo (Kidney Dialysis) Inabatilisha Swawm?

Kusafisa Mafigo (Kidney Dialysis) Inabatilisha Swawm?


SWALI: ASSALAMA ALAYKUM WA RAHMATU LLAHI TAALA WA BARAKATU REHMA NA BARAKA ZA MOLA WETU MTUKUFU ZIWAFIKIE POPOTE PALE MLIPO AMEEN SHEKH MM NAPENDA KUWAULIZIA WALE NDUGU ZETU WALIO PATA MARADHI YA FIGO NA AMBAO WANASAFISHA MAFIGO KWA WIKI MARA TATU

JIBU: Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mw