nyumba /Fatwas /utwahara /Kupiga Mswaki Kwa Mkaa

Kupiga Mswaki Kwa Mkaa


SWALI: NDUGU ZANGU KWA IMAN NAWASHUKURU SANA TENA SANA KWA KAZI YENU INSHAALLAH M.MUNGU HATA WATUPA, BISMILLAH, NILIKUWA NA ULIZA KWA BAADHI YA WATU WAKISEMA KUWA MAKAA UKITAFUNA AMA KUSUGULIA MENO INATAKATISHA NA MAJIVU PIA LAKINI WENGI WANADAI NI

JIBU: AlhamduliLlaah - Himdi Na Sifa Zote Anastahiki Allaah (Subhaanahu wa Ta’aala) Mola wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu 'anhum) na