nyumba /Fatwas /utwahara /Kupaka Maji Shingoni Wakati wa Kuchukua Wudhuu Imo Katika Hadiyth?

Kupaka Maji Shingoni Wakati wa Kuchukua Wudhuu Imo Katika Hadiyth?


SWALI: Assalam Aalaykum Warahamatullah Wabarakatuh. Ningependa kufahamu jee kuna Hadiyth yoyote kua Bwana Mtume (Salallah Aalayhi Wassalaam) alionekana akipaka udhu kichwa kizima na pamoja na shingo

JIBU: Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku