nyumba /Fatwas /saumu /Kuna Tofauti Baina Ya Niyyah Ya Swawm Ya Ramadhaan Na Swawm Ya Sunnah?

Kuna Tofauti Baina Ya Niyyah Ya Swawm Ya Ramadhaan Na Swawm Ya Sunnah?


SWALI Assalam aleikum ninawaomba mumueleze ndugu yangu wakiislamu ambaye hasemi na mwenziwe wa kiislamu na yeye yuko kwenye hali yakuwa amefunga ramadhani tukufu.nini faida yake?na nini hasara yake?na nini adhabu yake?je swaum yake ni maqbul? shukran

JIBU: Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu 'anhum) na watangu wema mpaka Siku