nyumba /Fatwas /swalah / Kuna Du’aa Maalumu Ya Swalaah ya Dhwuhaa?

Kuna Du’aa Maalumu Ya Swalaah ya Dhwuhaa?


SWALI: ASALAM ALAYKUM, SWALI NI HIVI, KWENYE SWALA YA DHUHA KUNA DUA MAALUM INAYOTAKIWA ISOMWE? NAOMBA MSAADA WENU.

JIBU: AlhamduliLLaah Himidi Anastahiki Allaah (Subhaanahu wa Ta’aala) Rabb wa walimwengu, Swalaah na salamu zimshukie Nabiy Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhwiya Allaahu 'anhum) na waliowafuata kwa wema mpaka