nyumba /Fatwas /saumu /Kufunga Swawm Za Sunnah Mwezi Wa Rajab Ambazo Ana Mazoea Nazo Kuzifunga Kama Jumatatu Na Alkhamiys.

Kufunga Swawm Za Sunnah Mwezi Wa Rajab Ambazo Ana Mazoea Nazo Kuzifunga Kama Jumatatu Na Alkhamiys.


SWALI: Asalamu alaykum warahmatullah wabarakatu ALLAH subhana wataala awalipe dunian na akhera kwa kutuelimsha swali langu mimi ni huwa nafunga kila jumatatu na alhamisi vp kuhusu mwezi huu?

JIBU: AlhamduliLLaah Himidi Anastahiki Allaah (Subhaanahu wa Ta’aala) Rabb wa walimwengu, Swalaah na salamu zimshukie Nabiy Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhwiya Allaahu 'anhum) na waliowafuata kwa wema mpaka