nyumba /Fatwas /saumu /Kufunga Swawm Za Sunnah Kuanzia Ijumaa Inafaa?

Kufunga Swawm Za Sunnah Kuanzia Ijumaa Inafaa?


SWALI: ASALAM ALEYKUM. - *Nina swali langu moja je nikita kufunga swawm (suna) nikianza siku ya ijuma inawezekana noamba muni jubu hili sawali MUNGU AWAZIDISHIA ELIMU

JIBU: AlhamduliLLaah - Himidi Anastahiki Allaah (Subhaanahu wa Ta’aala) Rabb wa walimwengu, Swalaah na salamu zimshukie Nabiy Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhwiya Allaahu 'anhum) na waliowafuata kwa wema