nyumba /Fatwas /utwahara /Kufanya Wudhuu Katika Choo Kilichoko Ndani Ya Chumba Na Kusema BismiLlaahi Inafaa?

Kufanya Wudhuu Katika Choo Kilichoko Ndani Ya Chumba Na Kusema BismiLlaahi Inafaa?


SWALI: Assalaam Alaykum Warahmatullahi Wabarakatuh. Swali langu ni kuhusu ikiwa udhu unasihi ikiwa mtu ataufanya ndani ya chumba ambacho mna choo na bafu halafu kuna mfereji wa maji ambao unafanya ufanyaji wa udhu uwe sahali.Tena izingatiwe y

JIBU: Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku ya M