nyumba /Fatwas /hijja /Kuchukua Mkopo Kwa Ajili Ya Kumpeleka Mzazi Hajj Inafaa?

Kuchukua Mkopo Kwa Ajili Ya Kumpeleka Mzazi Hajj Inafaa?


SWALI: INAFAA, KUJITOLEA KUMPELEKA MTU HAJJ KWA PESA ZA DENI, YANI (LOAN)? ANAWEZA KUCHUKUA MTU LOAN KUMPELEKA MTU HAJI, ALAFU AKALIPA LILE DENI KWA UTARATIBU, YANI KIDOGO KIDOGO? LENGO LA KUCHUKUA HIO LOAN NIKUA:- MTU HUNA UWEZO WA KUMPELEKA. IJAP

JIBU: Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu 'anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwish