nyumba /Fatwas /zaka /Kipi Kiwango Cha Zakaah, Je, Inafaa Kutolewa Kwa Ajili Ya Madrasa?

Kipi Kiwango Cha Zakaah, Je, Inafaa Kutolewa Kwa Ajili Ya Madrasa?


SWALI: Assalaam alaikum Sheikh. Mimi nataka kujua mwanzo wa kiwango cha kutoa zakaah, kwa ile mali iliyopitikiwa na mwaka? Jee inafaa zakaah kupeleka kwa Madrasa ya Kiislam badala ya kuwapa maskini na fukara? Mwisho masheikh tunashukuru sa

JIBU: Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu 'anhum) na watangu wema mpaka Siku