nyumba /Fatwas /utwahara /Kakojolea Maji Ambayo Hayajafika Kullatayn, Na Yakajaa Yakafika Kullatayn, Nini Hukmu Yake?

Kakojolea Maji Ambayo Hayajafika Kullatayn, Na Yakajaa Yakafika Kullatayn, Nini Hukmu Yake?


SWALI: Swali langu ni hili... mtu amekwenda kukoga kwenye beseni (bath) ameamua kujaza maji ndani yake, beseni lenye ukubwa wa kullaten na tunavyoambiwa na masheikh wetu maji yakifikia kullaten huwa hayaingii najisi lakini swali langu huyu mtu kabla

JIBU: Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku ya