nyumba /Fatwas /utwahara /Je, Inapasa Kufanya Ghuslu Baada Ya Kutokwa Na Manii Bila Ya Kujimai?

Je, Inapasa Kufanya Ghuslu Baada Ya Kutokwa Na Manii Bila Ya Kujimai?


SWALI: Asalam alaykum Naomba kuuliza ikiwa mtu na mkewe wanaongea kwa njia ya simu na katika maongezi yao yakaja maongezi ya kutamanishana yaani maongezi ya kimapenzi... ambayo maongezi hayo yakasisimua hisia hadi yakamfanya yule mwanamme kut

JIBU: Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu 'anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mw