nyumba /Fatwas /utwahara /Je, Inafaa Kumuingilia Mke Baada Hedhi Lakini Kabla Ya Ghuslu?

Je, Inafaa Kumuingilia Mke Baada Hedhi Lakini Kabla Ya Ghuslu?


SWALI Assalaam aleykum Je kuna makatazo yoyote ya kumuingilia mkeo baada ya kumaliza hedhi kabla hajaoga josho, hali yuko msafi

JIBU: BismiLLaah wa AlhamduliLLaah was-Swalaatu wa Salaamu ‘alaa Muhammad wa ‘alaa aalihi wa Aswhaabihil Kiraam, wa Ba’ad: Kuna ikhtilaaf ya maulamaa kuhusu jambo hili. Kuna waliosema kuwa haimpasi mume kumuingilia mkewe akimaliza hedhi hadi afanye