nyumba /Fatwas /utwahara /Je, Anaweza Kuchelewa Kujitaharisha Janaba?

Je, Anaweza Kuchelewa Kujitaharisha Janaba?


SWALI: Je, nikikutana na mume wangu kimwili na mara nyingi usiku sana. Je, nitalazimika kukoga usiku huo huo, au hakuna ubaya wowote hata nikilala mpaka nitakapotaka kusali alfajiri ndio nikoge

JIBU: Sifa zote njema Anastahiki Allaah (Subhaanahu wa Ta'ala) Aliyetukuka Mola wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume (Swalla Allahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allahu 'anhum jamiy'an) na watangu wem