nyumba /Fatwas /zaka /Je, Inapasa Kutoa Zakaah Katika Mshahara Na Kodi Ya Nyumba?

Je, Inapasa Kutoa Zakaah Katika Mshahara Na Kodi Ya Nyumba?


SWALI: Assallam Allaykum, Huu ni mwisho wa mwaka wa kiislam, tunatakiwa kupiga mahesabu ili kutoa zakah. Nauliza je ni vipi nitoe zakah katika mshahara wangu na pili ikiwa nina nyumba ya kupangisha na ninapata kodi ya pango kwa wakati tufauti na hiyo k

JIBU: Sifa zote njema Anastahiki Allah Aliyetukuka Mola wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam), ahli zake, Swahaba zake (Radhiya Allahu 'anhum) na watangu wema mpaka siku y