nyumba /Fatwas /utwahara /Istihaadhwah (Damu Inayoendelea baada ya Hedhi) Na Hukumu Zake

Istihaadhwah (Damu Inayoendelea baada ya Hedhi) Na Hukumu Zake


SWALI LA KWANZA: asalamu aleykum NAOMBA MUNISAIDIYE TATIZO LANGU NAPATA HEDHI KWA KUDA MREFU SIKU 24 HADI MWENZI SASA NATAKA KUJUA BAADA YA SIKU NGAPI NAWEZA KUFUNGA NA KUSWALI MANA NIMESIKIA BAADA YA MDA KADHAA HUWA NI MARADHI KWAHIYO WAWEZA K

JIBU: Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu 'anhum) na watangu wema mpaka Sik