nyumba /Fatwas /swalah /Inafaa Kusoma Qur-aan Kwa Kutazama Mus-haf Katika Swalaah Za Sunnah?

Inafaa Kusoma Qur-aan Kwa Kutazama Mus-haf Katika Swalaah Za Sunnah?


SWALI: Assalaam alaykum. My dear brothers. My question is.is it possible to my Sunnah prayers, while reading the suraz by holding the holly Qur'aan in my hand? I did not memorize those suraz, I would like to know if it is possible. Asslm

JIBU: Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘Alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka