nyumba /Fatwas /swalah / Imaam Ibn Baaz - Kula Mirungi Na Kuhusiana Na Swalaah

Imaam Ibn Baaz - Kula Mirungi Na Kuhusiana Na Swalaah


SWALI: Wengi katika waraibu wa Mirungi, inapofika wakati wa Swalaah basi (kwa wale wanaoswali) hutoa midomoni mwao (Mirungi) na kisha huitema kwenye mifuko ya plastiki kisha huswali. Na baada ya Swalaah huichukua kutoka kwenye mfuko na kuila tena, je, Mi

JIBU: Sina elimu ya chenye kuonesha kuwa ni najisi, kwani huo ni mti maarufu, na asli kuhusiana na miti na mimea mbalimbali ni kuwa yote ni twahara. Ama utumiaji wake ni haraam kwa kauli sahihi za Wanachuoni kutokana na madhara yake mengi. Na inawapa