nyumba /Fatwas /hijja / Huswali Tahajjud Kisha Hupitwa Na Swalah Ya Alfajiri

Huswali Tahajjud Kisha Hupitwa Na Swalah Ya Alfajiri


SWALI: ASALAM ALYKUM, KWANZA NAWASHUKURU SAAAAANA KWA KUANZISHA HII WEB INSHAALLAH M/MUNGU AWAJAALIE KHERI DUNIANI NA KESHO AKHERA AMIIIIIN.SASA MIMI NAULIZA MIMI NASALI SALA ZA USIKU NIKIMALIZA HUTAKA NISOME MPAKA SALA YA ALFAJIRI ILI NIPATE KUSALI ALF

JIBU: Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu 'anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mw