nyumba /Fatwas /utwahara /Hukmu Ya Wadii Na Madhii

Hukmu Ya Wadii Na Madhii


SWALI: asalam alaikum,ndugu zangu waislamu. Suali langu ni hili kuna vitu vingine vinavyomtokaga mwanamke kwenye sehemu ya siri,sijuwe kama ni wanawake wote,vile vitu ni vyeupe sio rangi ya maji,sijuwe nivifananishe na nini,ila vyeupe wakati

JIBU: Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku ya M