nyumba /Fatwas /saumu /Hukmu Ya Swawm Ikiwa Amelala Na Janaba Hadi Jua Likatoka

Hukmu Ya Swawm Ikiwa Amelala Na Janaba Hadi Jua Likatoka


SWALI: Asalam aleikum swali langu ni ikiwa mtu amelala na janaba mpaka jua likatoka jee swaum inafaa amaitakuwa haifai shukranwa jazakum Allaah bil kher

JIBU: Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mw