nyumba /Fatwas /utwahara /Hedhi Inayojitokeza Na Kupotea – Nini Hukmu Ya Swalah Na Kitendo Cha Ndoa?

Hedhi Inayojitokeza Na Kupotea – Nini Hukmu Ya Swalah Na Kitendo Cha Ndoa?


SWALI: Assalaam alykum kwa mfano nilipata hedhi kisha nikakaa siku 40 ndipo nikapa hedhi nyengine na nikatumia siku 8 nikapata twahara na kukaa siku 8 za twohara na nikapata hedhi tena na kutumia siku 8 kisha nikaka siku 20 nikafanya tendo la n

JIBU: Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu 'anhum) na watangu wema mpaka Siku y