nyumba /Fatwas /utwahara /Ghuslu (Josho) La Janaba Bila Ya Kujimai

Ghuslu (Josho) La Janaba Bila Ya Kujimai


SWALI: Assalamu 'Alaykum. Napenda kuuliza suala linalohusiana na tohara. Jee! Ikiwa nitastarehe na mke wangu au nikamtamani tuu wakati nio mbali naye yaani ikapelekea nikatokwa na manii kidogo sana, itanibidi nikoge janaba Kwani nimesoma kwenye

JIBU: Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu 'anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwish