nyumba /Fatwas /utwahara /Ghuslu - Vipi Kukoga Janabah, Nifaas Na Hedhi

Ghuslu - Vipi Kukoga Janabah, Nifaas Na Hedhi


SWALI: Naomba inshaallah unieleze kidogo namna ya wanawake wanavyotakiwa kuoga janaba baada ya maangiliano na mumewe. Kwa sababu jambo la kuingiliana baina ya mume na mke linafanyika kila bada siku chache tu, sasa kwa vile wanawake wanajisikia uzito

JIBU: Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu 'anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwis