nyumba /Fatwas /zaka /Fedha Inayobaki Benki Itolewe Zakaah?

Fedha Inayobaki Benki Itolewe Zakaah?


SWALI: Assalamu alakykum; Natanguliza Shukrani kwa Allaah (Subhanahu wataala) kutupa neema ya uhai na kuwawezesha ndugu zetu kubuni na kuendeleza mtandao wenye manfaa kede kede. Allaah (Subhanahu wataala) ndiye mlipaji. Nina akaunti benki ambayo huwa na

JIBU: AlhamduliLlaah - Himdi Na Sifa Zote Anastahiki Allaah (Subhaanahu wa Ta’aala) Mola wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu 'anhum) na