nyumba /Fatwas /zaka / Dhahabu Zinatolewa Zakaah?

Dhahabu Zinatolewa Zakaah?


SWALI: Asalam alaykum. Je mwanamke mwenye mapambo ya dhahabu itabidi atolee zakah? Naomba nifafanulie vizuri

JIBU: Sifa zote njema Anastahiki Allaah Mtukufu, Swalah na salamu zimfikie kipenzi chetu, Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam), Ahli zake na Maswahaba wake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na Watangu Wema na waliowafuata kwa kheri mpak