nyumba /Fatwas /utwahara /Baada Ya Kupata Hedhi Kisha Damu Humtoka Kidogo Kidogo Kwa Masiku Zaidi

Baada Ya Kupata Hedhi Kisha Damu Humtoka Kidogo Kidogo Kwa Masiku Zaidi


SWALI: Mie huwa naenda siku nne (4) natumika katika hedhi, lakini niogapo udhu, bado damu inatoka kidogo kidogo sana kwa siku kama kumi (10) inanipelekea kunifanya niwe naswali adhuhuri nikitenguka naacha alasiri nk. Yawezekana ni ugonjwa bado sij

JIBU: Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwish