nyumba /Fatwas /utwahara /Anaweza Kuswali Na Damu Inayotoka (Nifasi) Baada Ya Kusafishwa Mimba, Ijapokuwa Hakuzaa

Anaweza Kuswali Na Damu Inayotoka (Nifasi) Baada Ya Kusafishwa Mimba, Ijapokuwa Hakuzaa


SWALI: Assalaamu alaikum warrahmatullahi wabarakatu Swali linamtatiza dada yetu kwa kupewa majibu tofauti,swali lenyewe ni hili: Dada amekuwa mja mzito kwa miezi 3, na mimba hiyo ikawa haina mafanikio yaani ikafika wakati mtoto matumboni hakui te

JIBU: Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku ya