nyumba /Fatwas /saumu /Amesikia Muadhini Wa Alfajiri Hali Akiwa Anakunywa Je, Swawm Imesihi?

Amesikia Muadhini Wa Alfajiri Hali Akiwa Anakunywa Je, Swawm Imesihi?


SWALI: nilikuwa nakula daku nilivo maliza kula nikawa nakunywa maji wakati naendelea kunywa maji nikasikia wanaadhini nikaendelea kunywa maji yaliomo mdomoni, je swaumu yangu imekubalika?au inabidi nilipe?naomba nijibiwe haraka, asanteni saana.

JIBU: AlhamduliLLaah Himidi Anastahiki Allaah (Subhaanahu wa Ta’aala) Rabb wa walimwengu, Swalaah na salamu zimshukie Nabiy Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhwiya Allaahu 'anhum) na waliowafuata kwa wema mpaka