nyumba /Fatwas /hijja /Amekufa Hajafanya Hajj Na Alikuwa Na Uwezo Wa Kufanya Lakini Akapuuzia’ Je, Anaweza Kulipiwa Hiyo Hajj Na Jamaa Zake?

Amekufa Hajafanya Hajj Na Alikuwa Na Uwezo Wa Kufanya Lakini Akapuuzia’ Je, Anaweza Kulipiwa Hiyo Hajj Na Jamaa Zake?


SWALI: Mtu ana uwezo wa kwenda hajj, na ameshapeleka watu kadhaa kwenda hajj ilhali yeye binafsi akiambiwa kwenda, anasema wanaye watamhijia. Ikatokea kweli akafa hajenda hajj, itafaa kumhijia mtu huyu? Ni ipi kauli ya ulamaa juu ya mtu alokuwa na uw

JIBU: AlhamduliLLaah - Himidi Anastahiki Allaah (Subhaanahu wa Ta’aala) Rabb wa walimwengu, Swalaah na salamu zimshukie Nabiy Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhwiya Allaahu 'anhum) na waliowafuata kwa wema mpak