nyumba /Fatwas /saumu /Al-Lajnah Ad-Daa#039;imah: Hakuweza Kulipa Swawm Za Ramadhwaan Zilopita Kwa Sababu Alikuwa Anazaa Siku Za Ramadhwaan

Al-Lajnah Ad-Daa#039;imah: Hakuweza Kulipa Swawm Za Ramadhwaan Zilopita Kwa Sababu Alikuwa Anazaa Siku Za Ramadhwaan


SWALI: Nini hukmu kuhusu mwanamke aliyekuwa akizaa siku za Ramadhwaan (kwa kutokea hivyo) muda wa miaka michache na hakuweza kulipa Swawm ya siku alizokuwa hakufunga?

JIBU: Inawajibika kwa mwanamke aliyejifungua katika mwezi wa Ramadhwaan kulipa siku alizokuwa hakuweza kufunga siku za mbele. Na ikiwa hakulipa siku hizo bila sababu inayokubalika katika Shariy’ah ya Kiislamu hadi imeingia Ramadhwaan nyingine, b