nyumba /Fatwas /utwahara /Akiwa Ameshaoga Kisha ukapita Muda Inabidi Atawadhe ili Kuswali?

Akiwa Ameshaoga Kisha ukapita Muda Inabidi Atawadhe ili Kuswali?


SWALI: Je waweza toka kuoga vizuri mtu kwako na wakati wa swala umewadia ukaswali bila kutawadha ikiwa una uhakika upo safi japo nyumbani Natumai waislam wenzangu mmenielewa kidogo nategemea mafanikio kwenu ya kielimu kubwa msinisahau mie ni mw

JIBU: Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Sik