nyumba /Fatwas /saumu /Akiota Ndoto Ya Jimai, Mchana Wa Ramadhaan, Afanye Ghuslu? Je, Aendelee Na Swawm Au Inabatilika?

Akiota Ndoto Ya Jimai, Mchana Wa Ramadhaan, Afanye Ghuslu? Je, Aendelee Na Swawm Au Inabatilika?


SWALI: Assalamu aleikum warahmatullahi wabarakatuh. Swali langu ni kuwa nimelala mchana wa ramadhan nikaota ndoto ya utu uzima, nikaamka na kuona majimaji kwa nguo yangu. Je nitaoga josho la janaba ama nitaendelea na saum yangu. Jazakallahu kheir.

JIBU: Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mw